
Guys during the maandamano kuna Risk ya biz yako kua vandalized. It can happen to anyone of us: the bigger question ni how do you go about protecting you goods from kua vandalized coz leo nae nipepita pita areas na hii ni very trending topic among all business owners. People are taking insurances , wengine imebidi wareenforce entrance to their business , wengine wameeka cctv , kuna wengine walikua tu outside their business na rungu,wengine wameeka kwa maombi,wengine imebidi waekee juju to protect theirs business (unique way hata nilishangaa ) Anyways how you as a Meshers go about protecting your business?
0
0
0