Guys, Hizi statistics zinapeana wasiwasi! Suicide statistics amongst the youth zimezidi sana. Juzi hapa Juja, a student alijirusha kutoka kwa footbridge and ended his life.
Pressure ni za nini my fellow youth, and how can we overcome them? Toeni maoni hapo chini ⬇️
0
0
0