
Guys I think sahi ni poa wasee wakianza kuingia kwa biz ya agriculture juu ya weather plus sahi farm products zina sell highly kwa country juu ya scarcity,sasa shida ni msee hako sure a plant vegetables gani ama stuff za agriculture now hapo sasa ndio nadai advice wakuu.
0
0
0