
Guys, juzi niliuliza bout wasee kubuy gari na loan. Alot of you felt Lazima ikue ya biz for it kua right. Now imagine this.
Msee anamake 100k kila mwezi, if they spare 20k and wabuy gari moja mzee ya 500k, itabidi wasave for 2 years for them to buy hii gari cash.
Akidai anataka something slightly newer icost 1M, itabidi asave for 4 years na upuzi juu.
So assume we unamke consistently hio 100k net income kila mwezi, na umechoka kukaa bila ndai,, utado?

0
0
0