
Guys, Kenya Prisons wanadai watu. Na si ati lazima uwe A student – hata D+ iko sawa ama ata any technical skills. Recruitment inaanza 8th hadi 12th April kwa kila county. Kama uko idle, uko na skill make sure you check, unaeza kua the next man/lady in uniform.
Full info: https://x.com/PrisonsKe/sta...




0
0
0