
Guys last time niligusia story kuhusu computer maintenance na leo nitawashow mbona iko very important sana kwa machine yako kukua service every once in a while:
- Ina enhance performance ya computer yako.
- Ina prevent Hardware failures.
- Extending Lifespan ya computer.
- Cost effective.
- Identifying na pia addressing Hardware issues.
This a good business opportunity kwanza sahi wasee wengi wana rely kwa computers, wengi wao working from home or remotely. Hii ni Bizz poa ya kuanza kama wewe ni msee una own movie shop ama cyber cafe or mobile na laptop repair shop. Hii ni opportunity ya kuokolea customers wako wakue wakirudi kwako for maintenance.
What are other unaweza save machine yako kuchapa haraka???

0
0
0