
Guys mmecheki maroof kadatha in the rainy season kama el-nino hivi nikama uko inje lakini uko ndani .. the roof inaleak mbaya sana. Inaezakalewa na vitu kibao kama poor plumbing na pia poor constuction ya some houses . Sazingine ni materials zimebeat kama mabati , corrosion So the solution 1.Hydraulic Cement is a product used to stop water and leaks in concrete and masonry structures.Hi nayo inasaidia sana . 2. Buy new matrials kama unaona mabati imetoboka you can change that particular part 3.kwa concrete roof is to applying a thin layer of bitumen primer onto a cleaned surface, followed by bitumen-based waterproofing paint.
Mimi personally nakuanga nimechukia hizo paints zinakaa rashes 💯😂 #construction



0
0
0