
Guys mmeona hii Story ya Kenya government proposal Selling some state corporations kama vile KICC kenya pipeline company, national oil corporation, etc what are your thoughts and opinions. Lakini mimi on a personal level wasiuze vitu zingine bana sasa itakua nikama unaishi na kuown nyumba but vitu ziko ndani huwezii tumia juu sii zako ama thats what I think . But if you want more info on the matter check the link https://vm.tiktok.com/ZM6RT...

0
0
0