
Guys n hivi Mungu akikupea utajiri ama uwezo Fulani wa fedha ama chakula usikule pekeako mana unaambiwa kidogo gawia mwenzako. N hivi Kuna Hawa ndugu zetu wanahitaji msaada wenu na hawahitaji vitu vikubwa sanaaa apana kile kido ulicho nacho waeza changia ama watembelee tuuu Heart... can't wait to see you guys Childrens HomeHeart Children's Home - Malindi Kenya a . Heart Childrens Home

0
0
0