
Guys, nadai kuanza biz ya Bread Baking nimeleast the major machines and equipments nafaa kuwa nazo kama Mixers, Slicers, Proofers na Ovens imebaki vitu ndogondogo kama scales na measuring cups and spoons. Ni kifaa gani kingine unaona ni must nikue nacho?....Suggestions and advice. #KindlyAdvise #MESHer #SisiNiMESHer
0
0
0