
Guys this is an online platform na saa zingine tunaeza interact kufanya business na mtu na hauko sure of verification payment ,ningependa Mesh team wajaribu kuupdate app in such a way mtu akuwe verified to be a trusted person offering the service ndo trust issue isikue low,ama mnaonaje guys.
0
0
0