Guys tuemphasize kwa business discipline. Kuna sellers hukua so arrogant wakishajua their daily target imefika. Huyo customer unafanyia madharau ndio atakuwa potential buyer kesho wakati stock itakuwa imekukwamia.
0