
Guys ukisema niaje naomba loan nianze bizz chance are very minimal utapewa na msee apa, lets connect each other with hustles na ideas. Sahizi Kasarani kuna places parking ni issue na next plot is empty and locked. If you can get the owner wa plot ongea nae, then flatten the plot unda parking eka security ata kama ni wewe mwenyewe, with time install cctv na lights ata maji gari zioshwe ucku lets not starve hadi turudi ocha. Ideas zikam through tuko willing kuskia and to implement.
0
0
0