
🥺Guys wamegusa "Mutura"
What do you'll have to say about this? Mimi ningeadvice watu wa kukula Mutura wakuwe tu na specific joint yenye kuna butcher....uko assured kukula legit meat. This is sad anyway! Let's look for mullah in the right way bila kuhatarisha maisha ya Wasee.
S.O : News by @Spmbuzzke

0
0
0