Guys wenye wamepata loan try your best to invest from it,,wenye hatujapata mtuombee pia tupate tunaeza invest na tuomoke kutoka kwa hiyo loan