
Guys your thoughts on this ? In short kitu wansema watu wako 25 bana tax lazima : especially kama huna job na unaishi na msee ako na job ikue mzazi bibi ama rafiki . Mnaonaje nii maneno coz for me hii story haimake sense at all. naona nikama unalipia Miaka zako.

0
0
0