Guys,
Makaa imefika bei ngapi huko kwenu? Our local amehike bei frm 70 bob to 100 bob. Nikamuuliza, kwani bei ya petroli ikipanda, pia makaa hupanda?