
Haa, naonanga watu wa kutengeneza memes tukidharauliwa sana buana. Ni kama hawajuangi how creative we are to come up with such memes tuwachekeshe. But hapa mesh naona kuna competition ingine ya kutengeza memes, watu 25 total wanaeza pata 500 bob just because you created a good meme! Cheki details hapa: https://meshlife.page.link/...
0
0
0