Habari yenu meshers Man Nimejaa ngori Bana Nimefanywa mbaya na mlevii🥲🥲 nimeenda kurudisha bags zenye nauza kwa shop nikapata imefungwa nikaona wasee wananiita na nikaenda hapo kumbe ni mzee.mlevi na madam wake mlevi.Akaniuliza bei nikawaambia 1000/= ndio angalau mi na madam mwenye namsaidia kuuza tupate kitu sasa alisema nipunguze nikasbukisha hadi 900 akasema 650 nikamwambia mwisho ni 850 akashindilia 700 najaribu kumshow hataki kuskia sasa ameshindilia ikabaki nimeuza bag na hasara Next time kuweni assertive mkideal na walevi
0
0
0