Hack skill ya kupata bahati is always looking good. Always dress smart and stay well groomed no matter where you are going ama kama hakuna place unaenda. Mimi siku ya maandamano nilihepa rungu za polisi juu nilikua nmevaa poa wakasema "huyu ni msafi ,hayuko maandamano twende"
0
0
0