
hae guys as the youth rep in our ward, nilitamani sana kuwa na kundi la vijana ili kukuzana kifedha, kimawazo, kielimu, kibiashara na vinginevyo.Nashukuru mungu kwa kutufanikisha. The posted photo ni ya picha yangu nikiwa kwa afisi ya usajili wa vyama.
0
0
0