Hae mesh, Mimi ninatamani kuanza bizna yangu dogo tu ya kuuza mboga na matunda but sins starting capital, how will you advice me, since sina job nachapa tu mjengi hapa mukuru kwa njenga