Hae,, mimi ni mgeni hapa ,,,😜 venye maisha inanipeleka ,,sio poa sana juu nimefanya KCSE this year ,,, naomba usaidizi ,,,,,,ata job ,,,,juu natafuta pesa ya kujoin college 🙏🙏