
Hae people... Am Nicole.. Mi ni student na nafanya Cat\acc.... Vile mnajua sai we are on kynda long holiday na kazi pia imekua hard kupata😩 obviously akuna mtu anaweza employ msee for a month na majukumu ni mingi So nilikaa chini nikafikiria na nikacome up na solution.... Napanda skuma.. Nilibuy seedlings at 200 bob nisha zipanda na nathank God for the rains... I just hope all goes well for me🙏
0
0
0