Haha ka set ka 5 seater kanaslap mbaya walai. 2 seater ni 17500 3 seater ni 22500 5 seater ni 40k Lakini tunaeza ongea ,usiogope.Tukol ma WhatsApp kwa 0769693568. Tuko pale Kahawa wendani Thika Road. Karibuni sana