
Haka ka 5 in 1 peeler hukua life saving ukiwa pale kitchen. Hii unaweza kata nayo cabbage, kupeel ama kuslice waru, kushred cucumbers for salads na kugrate carrots.
Wewe ukonayo? Ni kitchen hack gani ingine hucome in hand na this tool 👇 tuchapiane!
#KitchenHacks #LifeSavingHacks

0
0
0