
Hakuna kitu fittie kwa biz kama kutreat customers wako right na kuwarespect. hyo trend inaeza fanya biz igrow juu most tymes atakufanyia referral na utagain more customers. so remember to be customer friendly to uweze kumanuover teke. Enjoy day yako mesher!
0
0
0