Hakuna kitu huboo kama ukienda kulipa fare na Mpesa alafu uambiwe hiyo hakuna ni cash tu labda uongeze pesa ya kutoa.