
Hakuna kitu ushikisha Sunday afternoon for me after a long week of hustle nikitoka church kama game za football pale mtaani...hizi game ukua action packed na fans sugu na kunakuaga with lots of entertainment and up dates mob on what is happening in your hood na pia bonding na wasee WA mtaa yako. Kindly share team ya mtaa yako inaitwaje and the experience inakuaga pale field on Sundays..yangu ni #team Gas na mtaani ni githurai.




0
0
0