
Halafu wadau kuna hii story ya Ajira. Kuna msee alipost hapa, its a nice venture with opportunities and pia ma classes kadhaa. Leo kulikuwa na ka zoom meeting ya gig ya Google business registration, niliget na uko ndani. So while hustling pia chapa n u check ka side hustle uko pia. But ile poa kabisa nikaa utaa attend tu classes kadhaa twa different courses, most ni online ndio ujitengezee ka profile. Then utaona gigs zinacome through. Na thank huyo Mesh'er alishare hii idea hapa.
0
0
0