
Hallo community,. Mi naitwa Jonah, supporter na follower wa mesh,napenda hustle ya mikono coz hio huonyesha bidii ya msee, mi hua na fanya beauty ya nails na partly hua nafanya braiding, dreads, na pia hua nafanya hustles za stima kama installations na repairs... Currently sina place na sina job.. but nkapata naweza furahia...
0
0
0