
Hallo everyone, kuna jambo ningependa tuliongelelee hapa kama vijana; Hii story ya msimamao wako was kisiasa, Mara mingi unapata wanasiasa wanatumia mayouth kupigana na youth wenzao juu ya siasa. Na huyo youth unafight mko nayeye hapa mesh tunasaidiana kwa njia tofauti, au mko ploti moja au hata ni wa church yenu. Mnaonaje hii story? Tuchapiane.
0
0
0