
Hallo guys!!!
Are you Struggling to find Customers? Kwa Bizz yako ya Crafts?
Kutafta customers inawezakua one of the biggest challenges kwa small business owners, especially in the crafts and design industries.
But usiworry, hapa kuna effective strategies zakusaidia work yako istand out na kuattract attention it deserves.
-
Showcase Your Unique Style: Identify what makes your work unique and highlight it in your marketing.
-
Engage with Your Audience: Ni poa kurespond kwa maswali za followers na audience wako, kama ukiulizwa price nipoa kukua honest sio kushow customer mpatane kando. Hiyo nikuonyeshana you’re not ready.
-
Offer Promotions na Discounts: Promotions zina encourage new customers na ina encourage them to try your products.
What are other tips unaweza ongezea hapa na kwa craft industry?
