
Hallo guys,
I know ukifika kwa kinyozi unakuaga confused on how different machines operate, utapata mostly Barber hutumia ya white ama Red
White machine, Hii hukua fiti kunyoa ama number 1.
White machine, Hii hukua poa sana na styling, But haiwezi nyoa ile kipara ngoto. The red one inatumika kunyoa kipara aka no.1 but also unaweza tumia ikiwa na clipper combs kulevel nywele ya client
Ukienda kubuy shaving machines try to consider that.💯

0
0
0