
Hallo guys!!!
Juzi job opportunity imenitoka too ivyo after kupass all the stages, only the last one ilinifail na ni juu ya internet connection.
Waliniambia ni test my internet speed na ilikua must ipite 20mbps and above. Mimi yangu kumbe supplier ameniwekea 4mbps.
Nilifeel mbaya sana na iliuma walai. 😬
Hii situation msee huwa anatumia hacks gani ?
Kama wewe ni Techie ebu tuchanuane hapa. Kwa comment section. 💯😬
0
0
0