
Hallo guys!!!
Kama kawaida Mesh ni place ya opportunities.
Kama uko within Narok, Kisumu, Bungoma, Migori na Narok kuna gigs za data collection, data collectors wanahitajika.
Fika hapo kwa opportunity selection and apply. January usikose pesa za cabbage na opportunity ndo hiii hapa.😁😁

0
0
0