
Hallo Guys!!!
Kwani system ya learning imechange?
Naona Mang'u high school received a boeng plane ikafika hadi kwa shule. Waah mimi hizo vitu nilikua nafakiria ni story za jaba. Sahi students watakakua aware with all the components of the plane plus it's functions.
Whats your views guys.

0
0
0