
Hallo Guys!
Nadai kufunfua Bizz na nimekua nikiuliza advices hapa na pale and someone told me, it's good to make Sure nimejipanga na Rent ya the whole year ndo nikue pazuri, nipate time ya research.
What do you think guys ni vitu gani unafaa kupea priorities during the first year ya bizz yako before uanze kumake profits ?
Tuchapiane hapa kwa comment section.💯
0
0
0