
Hallo guys!!!
Najua pale mtaani, hakukosagi ata kama ni nyundo ama misumari kathaa, najua huwezi kosa tool box.
Ni craft technique gani ume master over the years? Mimi yangu ni carpentry nikifika pale shagz mimi ndo hukua master wa kutengeneza nyumba ya kuku ama ku repair nyumba ng’mbe.😂😪
What about you guys? Share your progress!! 🔨

0
0
0