Hallo guys. Nichanueni. naeza download mesh app aje kaa siyuko Kenya? Nimejaribu kwa play store inasema the app is not available in your country.