Hallo guys!!;
Nisheng' gani mtu akiongea unajua too huyu ni mzee, hapo kwa bizz yako. 😅😅
"Nifungie mandazi ya paondi." Na tuko sahi mbao ama omba 😅
Ebu share kwa comment section.