
Hallo Guys!!!!!
Sahi mambo imekua ngumu sana. Imagine unaita beste yako umhost ndo apate shughli nairobi, alafu unakutoka 70k doo ya bizz ulikua umeweka kejani kama savings, unaweza feel aje ?
Na kama Meshers tunafanya bizz daily ni place gani safe ya kuweka Doo za bizz daily kama savings.???
ebu tuchanuane hapa kwa coment section, niku moto manza 💥💥.
0
0
0