
Halloo mesh, Today nadai kubonga kuhusu "Price manipulation" and venye inaweza fanya products zako zi move faster.
So price manipulation is where una set product on offer but same time retaining hiyo price value so in the end hakuna loss yoyote utakua nayo. So example if value ya kiatu ni 400 utaiweka like before ilikua 500 but now kuna 30% offer, so customer akiona hiyo kiatu ni 400ksh na before ilikua 500 atakimbilia hiyo product. In the real sense wewe ndo unajua exact price ya hiyo product.š
So this hufanya like business zi clear stock haraka sana, juu utakua umesha manipulate customer.
So what do you think this a greate strategy ama ? Nichapie hapo kwa comment section. ššššššš.

0
0
0