Halloz Kuna mtu aliuliza kwa comment hizi nguo ni how much kwa shop . Nimefanya research na hivi ndio zinauzwa. Hii ya pink na import na 1700 ya black ni 2k.