Halo Halo Meshers nataka leo tuchapie ma ukwela !Niliona reel fulani Instagram yneye kuna madama fulani kutoka Britain alisema that hii story ya kustress kupost ndio upate views sio kitu huwa inafanya content yako iwe successful juu yeye anasema kuna post alifanya ilikuwa na 50 views na akawa invited kuongea mbele ya watu 16,000 huko Wembley simply because content yake iliguza the right person mwenye alihitaji kuona reel yake.So To fellow meshers mnaona kama tunadanganywa online sijui Instagram quick hacks za kupata aijui 100K followers in 21 days ama kuambiwa sijui follow u unfollow msee fulani na utaona followers wakiincrease na what if hawako interested kununua products zako?What if kama vijana wako kwa biz tupost content yenye itattract watu who will actually buy our products ju wameona kwa content yetu bidhaa yenye tunaadvertise itasolve shida wako nayo ? Ningependa kuskia maoni yenu