
Hamjambo Wana Mesh, hope mko poa kabisaa, Mimi nimepotea kiasi lakini nimerudi kwa Mpigo. Changamoto ni Kibao lakini ndio Hali ya Maisha. Nilikuwa nimepata Mahali pa kupanua biashara yangu Lakini Moto ambao ulitokea Gikomba ukameza Kila kitu, Sasa nimeanza Fresh hakuna kukufa moyo.
0
0
0