
Hamster Kombat explained:
Disclaimer: hii info si incentive ya kuivest, crypto investment are risk, so this is just for general knowledge.....
💡hamster ni crypto game iko build kwa telegram, na kama crypto projects tuu zingine wasee wanapewa dooh ukisign up kama marketing strategy(airdrops)
💡Ni project kubwa na building company wakona plans za ku_expand, so kuna opportunities most msee anaeza earn something kwa iyo platform kama kucheza na u_earn token tuu bado,
💡Ni poa ujue dooh unalipwa unalipwa in crypto currency bado so basic crypto knowledge ni muhimu....iyo inaeza kuwa place fitie ya kuanza, jaribu kuelewa what crypto is all about ndio opportunity kama hizi zikitokea unaeza changamkia 💯
🤔Unaeza tushow hapo kwa comment section ni kitu gani unaeza taka kujua kwa crypto tutegeneze post yake next .........
