
HAND SEWING SKILLS(kushona na sindano.)
Leo karibu kinirambe walai, Nimeenda kuvaa my trouser nikapata kumbe nimepunguza weight 😅😅. And nilikua na kiherehere nikafua asubuhi.
Waaah hapo ndo nilikumbuka kumbe nakuanga na skills za kutumia sindano na uzi. Plus on the safe side nakuanga nimebuy uzi na sindano ziko kwa safe box. I had to sew my trouser ndo atleast initoshee, plus tena nakam ku realize kumbe pia button ilikua imetoka i had to fix manually juu ni Christmas day Taylors wamefunga duka.
Do you think this skill za kushona manually kila msee anafaa kukua nazo?
Ebu nichapieni hapa kwa comment section 👇👇👇👇👇

0
0
0