
Hands down to the golden era of kenyan television. Kwanza that "Tahidi high at 7.30 pm and Storm over paradise at 8.00pm" combo used to hit akii inafanya ploti mzima inanyamaza from saa 8 hadi saa 9. Alafu on Mondays Inspecta Mwala before wahame ile police station ya kitambo. Nostalgic moments my guys hadi nafeel mi ni mzeee buana. Msiseme Prime DJ Shiti in Real House Helps of Kawangware🔥😫. Kama unakumbuka Tahidi High, Makutano Junction, Beba Beba wewe sahii unafaa kua na mjunior buana. Na sijui mbona recent television shows hazishiki like kitambo, is it because TV was the only source of entertainment back then ama? Ama internet messed up? Whats your take?? Ju mimi sielewi hizi gem shows zilienda wapi buana




0
0
0