
Hao customers wenye hukataa kulipa? Mnadeal aje na wao?
Hii Kanairo, imenionyesha mambo aki. You work for someone, deliver the project alafu anakuruka mbaya! Anakataa kulipa. How do you deal with such clients?
Here's one tip: Kama wewe ni service provider na unadeal na a new client for the first time, ask for a down-payment e.g. akulipe 70% upfront, then 30% upon finishing the work. That way, you'll cushion yourself against severe losses, esp. if you have been paying for the project out of your own pocket.
Nyinyi mnadeal aje na hawa customers kisirani?

0
0
0